WCB new singer Rich mavoko

WCB new singer Rich mavoko
WCB

Thursday, June 2, 2016

Tazama picha za Rich mavoko akisaini mkataba na WCB

Siku za karibuni kulikuwa na fununu yakuwa Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii waliopo WCB lakini hakukuwa na usibitisho yakuwa ni kweli.
Leo msanii Rich mavoko amesaini mkataba rasmi na brand mpya ya WCB.





No comments:

Post a Comment

Search This Blog