WCB new singer Rich mavoko

WCB new singer Rich mavoko
WCB

UWAMINIFU KWENYE MAPENZI

Kwa mwonekano wa maisha ya sasa jinsi yanavyoenda uwaminifu kwenye mapenzi hakuna,imani ya kuwa na mpenzi mwaminifu haipo japo kuwa katika maisha ya sasa mapenzi ndiyo yaliyoshika chati sana.Uwaminifu katika mapenzi ni nguzo kuu sana huweza kukuweka huru kwenye kila jambo la mapenzi kwakuwa uwaminifu huambatana na ukweli yani kuzungumza ukweli kwa mwenzi wako.Kubaki na ukweli moyoni kunaweza kukuumiza moyo na kuku sababishia mawazo kichwani mwako ambapo unaweza ukajiona haupo huru tena kwa kuwa umekosa uwaminifu kwenye ukweli.Unaweza kuwa mwaminifu sasa kwani hakuna mwanadamu asiye mwelewa hapa Duniani.

No comments:

Post a Comment

Search This Blog