KUSHINDWA KUYAFIKIA MALENGO
Kila mtu huwa anandoto yake katika maisha yake kwa upande mwingine unaweza ukasema malengo,lakini malengo hayo hushindwa kufikiwa kutokana na sababu nyingi zilizopo,kwanza sababu kubwa moja wapo ya hapa Tanzania ni umasikini wengi wao hushindwa kufikia malengo yao waliyonayo kutokana na hali duni ya maisha.Umasikini huweza kusababishwa na uvivu,ufinyu wa akili yani kufikilia kitu ambacho kinaweza kukuinua katika wakati uliyonao ,aibu pia huweza kumfanya mtu kushindwa kufanya kitu cha maendeleo kwa kuwa tu anaona aibu kwa jamii iliyo mzunguka.Tubadilike vijana sasa ni muda wa kufanya jambo ambalo linaweza kukuinua ila kama tu utaweka mbali aibu na uvivu ulionao.
Subscribe to:
Posts (Atom)
No comments:
Post a Comment