WATU KAZAA WAHOFIWA KUFA KUTOKANA NA AJALI ILIYOTOKEA MUDA MFUPI MAFINGA,IRINGA.
Takribani watu 65 wahofiwa kufa kutokana na ajali iliyo tokea muda mfupi Mafinga,Iringa maeneo ya Changarawe.Ajali hiyo imetokea baada ya contena lililo kuwa limebebwa na lori kuangukia kwenye basi.
No comments:
Post a Comment