Maamuzi ya moyo wako ndiyo nguzo katika maisha ya mwanadamu waweza amuwa kuwa katika jambo zuri na baya.Furaha,amani,chuki nk mara nyingi huweza kuletwa na maamuzi yako ya moyo japo kwa mwanadamu kuyafikia maamuzi yaliyo sahihi huwa ni kazi kwasababu ya vikwazo vingi lakini kuwamua maamuzi yasiyo sahihi huwa ni rahisi sana kwa mwanadamu.Hata hivyo uvumilivu wako huweza kukufikisha katika maamuzi yako yaliyo sahihi.
Maamuzi sahihi yapo moyoni mwako amua sasa.
No comments:
Post a Comment