Alicho kisema Rama-dee kwenye nyimbo yake mpya ya usihofie wachaga kupitia facebook page yake nikwamba kabla ya kutoa wimbo huwo alikuwa anakasoro ndogo ndogo za uwimbaji wa R&B alizo kuwanazo lakini kwakuwa anazifanyia kazi akaamua kutoa wimbo huwo wa usiofie wachaga ili kuzitoa kasoro hizo na kusema kuwa bado anaendelea kujifunza mengi kuhusiana na R&B na hata kuwa mfano kwa wasanii wenzake.
No comments:
Post a Comment